Tuesday, March 9, 2010

Your dress style at work

Lets share. Unaweza kutuma stlye yako ya kuvaa kazini ili tuelimishane na kila mtu a-shine. Unajua ukivaa vizuri confidence inaongezeka na hata mchango wako kazini unakuwa valued maana wewe ni mtu wa kujiamini. Kwa mfano in my last appraisal, there was a comment that i always look smart and confident.
Ndo maana najaribu kusisitiza wanadada na wana kaka muwe smart always, you never know maana first impression always counts! What do you think?

1 comment:

  1. sasa kama mimi kazi yangu ni kufunga zile nguzo za umeme unaopita kwa kakobe pale, najifunga mikanda kibao mpaka u smart wangu unatoweka. boss akipita atasemaje nipo smart na mikanda yangu au nimependezea kuvaa hayo mamikanda.
    yg

    ReplyDelete