Monday, March 15, 2010
First day in the office - Your experience
Leo sijui nimewaza nini wajameni! Lakini, hebu tuambizane what was the experience in the first day at work. Yaani ilikuwaje siku ya kwanza kabisa ya wewe kuanza kazi. Nimeamua kuileta hapa maana kuna mdau wangu mmoja alikuwa ananipa story eti siku ya kwanza ofisini jioni ilipofika akawa anazima computer yake, baadae ikadisplay ile statement ya 'the monitor is going to sleep", yani ilibidi amuite IT person kuja kuamsaidia kwa nini monitor inaenda kulala. Send me your experience at jcseka.charles@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment