Ndugu wanaharakati, wanataaluma na wananchi wote!
Napenda kuwafahamisha kuwa kampuni ya AJIRA CENTRE SERVICES yenye makao yake Jijini Dar es salaam inatoa mafunzo mbalimbali kama ifuatavyo.
Wanatoa mafunzo ya ujasiriamali yenye kutathimini na kuonesha fursa za kiuchumi zinazopatikana katika jamii husika. Mafunzo haya yanaambatana na kushirikishana mafanikio na changamoto amabazo jamii zingine zimepitia na kufanikiwa.
Mafunzo ya jinsi ya kuandaa na kusimamia miradi (Project Planning and Management), andiko la mradi (project proposal), usimamizi na tathimini ya miradi (Project Monitoring and Evaluation), Usuluhishi wa Migogoro katika miradi.
Tathimini ya athari za kimazingira kaitika miradi yote ya maendeleo (Environmental Impact Assessment and Environmental Auditing), Njia bora za utunzaji wa mazingira.
Uanzishaji wa utalii wa asili, vijiji vya ushirika na rafiki wa mazingira, elimu ya makzi na saikolojia ya mahsiano na kakuzi ya watoto.
Utafiti katika masuala ya mazingira, malaria na UKIMWI.
Mafunzo ya ufugaji kuku, samaki, ng'ombe na Bustani (Tikiti maji)
Kwa wote watakaopenda huduma yetu.
Wasiliana nasi kwa namba. 0754 843 942.
Stay Blessed
Friday, March 19, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment