Huku makazini kuna vijimambo sana hasa kwa wale wenye ndoa zenu. Kuna temptations za hali ya juu, so nimeona nisuggest movie yenye mafundisho unayoweza kuangalia kama learning experience.
Inaitwa Obsessed. Imekuwa directed na Steve Shill, na kuchezwa na Idris Elba, Beyonce Knowles, na Ali Larter. Hope you would learn something
No comments:
Post a Comment