Monday, March 15, 2010

Bajaji Improved


Inapendeza eeh, nadhani inafaa sana kukatizia nayo kitaa



Ndo imetoka hivo nadhani very soon itakuwa bongo lakini bei yake sijui itakuwa million ngapi maana ile ya kawaida tu nadhani inaenda hadi 4.5 m, wajuzi watuambie



Mi najiandaa kupata yangu lol! hata mashostito hapa nawapa lift, halafu viti vizuri, full AC. Mi naanza kusave

No comments:

Post a Comment