Jamani wapendwa wa blog hii, samahani kwa kutoweza kupost kitu chochote kwa muda wa takribani wiki 2. Kwa kweli ni kwa sababu za ukosekanaji wa technologia hii ya internet mahali nilipokuwa, na si tu internet bali hata simu ya mtandao wowote. Nilikuwa mahali hapo ambapo sitapataja kwa shughuli za kikazi hivyo sikuwa na la kufanya. Natumaini hamjatoweka na mtaendelea kunipa support.
Thank you na tuendelee kuelimishana.
Wednesday, April 28, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment